Mathayo 4:2 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 4:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Shirikisha
Mathayo 4 BHNMathayo 4:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Shirikisha
Mathayo 4 SUVMathayo 4:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa.
Shirikisha
Mathayo 4 SRUVMathayo 4:2 NEN (Neno)
Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Shirikisha
Mathayo 4 NEN