Mathayo 5:13
Mathayo 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nyinyi ni chumvi ya dunia. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake itakolezwa na nini? Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, ladha hiyo itarudishwa vipi? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5