Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:16 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 5:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 5 BHN

Mathayo 5:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 5 SUV

Mathayo 5:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 5 SRUV

Mathayo 5:16 NEN (Neno)

Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 5 NEN