Mathayo 5:37
Mathayo 5:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukisema, ‘Ndiyo’, basi iwe ‘Ndiyo’; ukisema, ‘Siyo’, basi iwe kweli ‘Siyo’. Chochote kinachozidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5