Mathayo 5:44
Mathayo 5:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:44 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi
Shirikisha
Soma Mathayo 5