Mathayo 6:28 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 6:28 BHN (Biblia Habari Njema)
“Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.
Shirikisha
Mathayo 6 BHNMathayo 6:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti
Shirikisha
Mathayo 6 SUVMathayo 6:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti
Shirikisha
Mathayo 6 SRUVMathayo 6:28 NEN (Neno)
“Nanyi kwa nini mnajitaabisha kwa ajili ya mavazi? Fikirini maua ya shambani yameavyo. Hayafanyi kazi wala hayafumi.
Shirikisha
Mathayo 6 NEN