Mathayo 6:3
Mathayo 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kulia
Shirikisha
Soma Mathayo 6