Mathayo 6:3-4
Mathayo 6:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini ninyi mtoapo sadaka, fanyeni kwa siri, hata mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume unachofanya, ili sadaka yako iwe ni siri. Ndipo Baba yako wa mbinguni, yeye aonaye sirini atakupa thawabu kwa wazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Shirikisha
Soma Mathayo 6