Mathayo 6:30
Mathayo 6:30 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya shambani, ambayo leo yapo na kesho yanatupwa motoni, je, hatawavika ninyi vizuri zaidi, enyi wa imani haba?
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa basi, Mungu hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, si atawafanyia nyinyi zaidi? Enyi watu wenye imani haba!
Shirikisha
Soma Mathayo 6