Mathayo 6:34
Mathayo 6:34 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6