Mathayo 6:8
Mathayo 6:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6