Mathayo 7:11
Mathayo 7:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu zawadi njema, je! Si Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema zaidi wao wamwombao?
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ikiwa ninyi basi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?
Shirikisha
Soma Mathayo 7