Mathayo 7:12
Mathayo 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Sheria na Manabii.
Shirikisha
Soma Mathayo 7