Mathayo 7:13
Mathayo 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
Shirikisha
Soma Mathayo 7