Mathayo 7:24
Mathayo 7:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.
Shirikisha
Soma Mathayo 7