Mathayo 7:26
Mathayo 7:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 7