Mathayo 7:7-8
Mathayo 7:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7