Mathayo 7:8
Mathayo 7:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7