Mathayo 8:26
Mathayo 8:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Yesu akawaambia, “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?” Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nako kukawa shwari kabisa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawaambia, “Enyi watu wenye imani haba; mbona mnaogopa?” Basi, akainuka, akaukemea upepo na lile ziwa; kukawa shwari kabisa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8