Mathayo 8:8
Mathayo 8:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini yule jemadari akamwambia, “Bwana, mimi sistahili wewe kuingia chini ya dari yangu. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo jemadari akamwambia, “Bwana, sistahili uingie nyumbani mwangu. Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona.
Shirikisha
Soma Mathayo 8