Mathayo 9:13
Mathayo 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: ‘Nataka huruma, wala si tambiko.’ Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
Shirikisha
Soma Mathayo 9