Mathayo 9:36
Mathayo 9:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, alipowaona watu, makundi kwa makundi, aliwaonea huruma kwa sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo wasio na mchungaji.
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipowaona makutano, aliwahurumia, kwa sababu walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji.
Shirikisha
Soma Mathayo 9