Mathayo 9:37-38
Mathayo 9:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache. Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 9Mathayo 9:37-38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini wafanya kazi ni wachache. Basi mwombeni Bwana wa mavuno, atume wafanya kazi katika mavuno yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 9