Mathayo 9:8 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 9:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu wote katika ule umati walipoona hayo, walishangaa na kuogopa; wakamtukuza Mungu aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.
Shirikisha
Mathayo 9 BHNMathayo 9:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano walipomwona, walishikwa na hofu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu amri ya namna hii.
Shirikisha
Mathayo 9 SUVMathayo 9:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Makutano walipomwona, walishikwa na hofu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu amri ya namna hii.
Shirikisha
Mathayo 9 SRUVMathayo 9:8 NEN (Neno)
Umati wa watu walipoyaona haya, wakajawa na hofu ya Mungu, wakamtukuza Mungu aliyekuwa amewakabidhi wanadamu mamlaka kama haya.
Shirikisha
Mathayo 9 NEN