Mika 1:1
Mika 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Mika, Mmoreshathi, katika siku za Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; maono aliyoyaona kuhusu Samaria na Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Mika 1Mika 1:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Mika, Mmorashti, katika siku za Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; maono aliyoyaona katika habari za Samaria, na Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Mika 1