Mika 2:1
Mika 2:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao! Kunapopambazuka asubuhi huyafanya, kwa sababu ya katika uwezo wa mikono yao.
Shirikisha
Soma Mika 2Mika 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wao wanaopanga kutenda maovu wanaolala usiku wakiazimia uovu! Mara tu kunapopambazuka, wanayatekeleza kwani wanao uwezo.
Shirikisha
Soma Mika 2