Mika 2:12
Mika 2:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakika nitakukusanya, Ee Yakobo, nyote pia; Bila shaka nitawakusanya waliobaki wa Israeli; Nitawaweka pamoja kama kondoo wa Bozra; Kama kundi la kondoo kati ya malisho yao; Watafanya mvumo kwa wingi wa watu
Shirikisha
Soma Mika 2Mika 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini kweli nitawakusanya nyote enyi watu wa Yakobo, naam, nitawakusanya enyi Waisraeli mliobaki, niwalete pamoja kama kondoo katika zizi, kama kundi kubwa la kondoo malishoni; nanyi mtakuwa kundi la watu wengi.”
Shirikisha
Soma Mika 2