Mika 2:13
Mika 2:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Avunjaye amekwea juu mbele yao; Wamebomoa mahali, wakapita mpaka langoni, Wakatoka nje huko; Mfalme wao naye amepita akiwatangulia, Naye BWANA ametangulia mbele yao.
Shirikisha
Soma Mika 2Mika 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule atakayetoboa njia atawatangulia, nao watalivunja lango la mji na kutoka nje, watapita na kutoka nje. Mfalme wao atawatangulia; Mwenyezi-Mungu mwenyewe atawatangulia.
Shirikisha
Soma Mika 2