Mika 3:4
Mika 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati unakuja ambapo mtamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini yeye hatawajibu. Atauficha uso wake wakati huo, kwa sababu mmetenda mambo maovu.
Shirikisha
Soma Mika 3Mika 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo watakapomwomba BWANA, asiwaitikie; naam, atawaficha uso wake wakati huo, kwa kadiri walivyotenda mabaya kwa matendo yao.
Shirikisha
Soma Mika 3