Mika 3:8
Mika 3:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali mimi, hakika nimejaa nguvu kwa Roho ya BWANA; nimejaa hukumu na uwezo; nimhubirie Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake.
Shirikisha
Soma Mika 3Mika 3:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali mimi, hakika nimejaa nguvu kwa roho ya BWANA; nimejaa hukumu na uwezo; nimhubiri Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake.
Shirikisha
Soma Mika 3