Mika 4:5
Mika 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele.
Shirikisha
Soma Mika 4Mika 4:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele.
Shirikisha
Soma Mika 4