Mika 5:2
Mika 5:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
Shirikisha
Soma Mika 5Mika 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema, “Lakini wewe Bethlehemu katika Efratha, wewe ni mdogo tu kati ya jamii za Yuda, lakini kwako kutatoka mtawala atakayetawala juu ya Israeli kwa niaba yangu. Asili yake ni ya zama za kale.”
Shirikisha
Soma Mika 5