Mika 6:4
Mika 6:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana nalikupandisha kutoka nchi ya Misri, na kukukomboa utoke katika nyumba ya utumwa, nami naliwapeleka Musa, na Haruni, na Miriamu, watangulie mbele yako.
Shirikisha
Soma Mika 6Mika 6:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa. Nilimtuma Mose awaongoze, pia Aroni na Miriamu.
Shirikisha
Soma Mika 6