Mika 6:8
Mika 6:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!
Shirikisha
Soma Mika 6Mika 6:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu. BWANA anataka nini kwako? Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.
Shirikisha
Soma Mika 6Mika 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu amekuonesha yaliyo mema, ewe mtu; anachotaka Mwenyezi-Mungu kwako ni hiki: Kutenda mambo ya haki, kupenda kuwa na huruma, na kuishi kwa unyenyekevu na Mungu wako.
Shirikisha
Soma Mika 6