Mika 7:18
Mika 7:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu, na kuliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia? Hashiki hasira yake milele, kwa maana yeye hufurahia rehema.
Shirikisha
Soma Mika 7Mika 7:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? Wewe wasamehe dhambi za watu wako waliobaki, wala huyaangalii makosa yao. Hasira yako haidumu milele, ila wapendelea zaidi kutuonesha fadhili zako.
Shirikisha
Soma Mika 7