Mika 7:19
Mika 7:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atarejea na kutuhurumia; atayakanyaga maovu yetu; nawe utazitupa dhambi zao zote katika vilindi vya bahari.
Shirikisha
Soma Mika 7Mika 7:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Utatuhurumia tena, utazikanyaga dhambi zetu chini ya nyayo zako, na kutupa maovu yetu yote katika vilindi vya bahari.
Shirikisha
Soma Mika 7