Marko 1:10-11
Marko 1:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara tu alipotoka majini, aliona mbingu zimefunguliwa, na Roho akishuka juu yake kama njiwa. Sauti ikasikika kutoka mbinguni: “Wewe ni Mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe.”
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
Shirikisha
Soma Marko 1