Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 10:4 - Linganisha Matoleo Yote

Marko 10:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”

Shirikisha
Marko 10 BHN

Marko 10:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha.

Shirikisha
Marko 10 SUV

Marko 10:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha.

Shirikisha
Marko 10 SRUV

Marko 10:4 NEN (Neno)

Wakajibu, “Musa aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”

Shirikisha
Marko 10 NEN