Marko 10:43
Marko 10:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkubwa kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.
Shirikisha
Soma Marko 10Marko 10:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu anayetaka kuwa mkubwa kwenu, atakuwa mtumishi wenu
Shirikisha
Soma Marko 10