Marko 11:17
Marko 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akawafundisha, “Imeandikwa: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote!’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi!”
Shirikisha
Soma Marko 11Marko 11:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.
Shirikisha
Soma Marko 11