Marko 11:23
Marko 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: ‘Ngoka ukajitose baharini,’ bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.
Shirikisha
Soma Marko 11Marko 11:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambia, yeyote atakayeuambia mlima huu, Ng'oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.
Shirikisha
Soma Marko 11