Marko 12:17
Marko 12:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu akawaambia, “Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Wakashangazwa sana naye.
Shirikisha
Soma Marko 12Marko 12:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.
Shirikisha
Soma Marko 12