Marko 12:30 - Linganisha Matoleo Yote
Marko 12:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.’
Shirikisha
Marko 12 BHNMarko 12:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.
Shirikisha
Marko 12 SUVMarko 12:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.
Shirikisha
Marko 12 SRUVMarko 12:30 NEN (Neno)
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.’
Shirikisha
Marko 12 NEN