Marko 16:19
Marko 16:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Bwana Yesu, baada ya kusema nao, akachukuliwa juu mbinguni, akaketi mkono wa kuume wa Mungu.
Shirikisha
Soma Marko 16Marko 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
Shirikisha
Soma Marko 16