Marko 4:26-27
Marko 4:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Ufalme wa Mungu, mfano wake ni kama mtu aliyemwaga mbegu juu ya nchi; akawa akilala na kuondoka, usiku na mchana, nayo mbegu ikamea na kukua, asivyojua yeye.
Shirikisha
Soma Marko 4Marko 4:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani. Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.
Shirikisha
Soma Marko 4