Marko 9:28-29
Marko 9:28-29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumtoa? Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kuomba.
Shirikisha
Soma Marko 9Marko 9:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?” Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala.”
Shirikisha
Soma Marko 9