Marko 9:41
Marko 9:41 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Shirikisha
Soma Marko 9Marko 9:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu yeyote atakayewapeni kikombe cha maji ya kunywa, kwa sababu nyinyi ni watu wake Kristo, hakika hatakosa kupata tuzo lake.
Shirikisha
Soma Marko 9