Nahumu 3:19
Nahumu 3:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jeraha lako halipunguziki; donda lako haliponyeki; wote wasikiao habari zako wapiga makofi juu yako; kwa maana ni nani aliyewahi kuukwepa ukatili wako usio na mwisho?
Shirikisha
Soma Nahumu 3Nahumu 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna wa kuyapa nafuu majeraha yako, vidonda vyako ni vya kifo. Wote wanaosikia habari zako wanashangilia. Maana ni nani aliyeuepa ukatili wako usio na kikomo?
Shirikisha
Soma Nahumu 3