Nahumu 3:7
Nahumu 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?
Shirikisha
Soma Nahumu 3Nahumu 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wote watakaokuona watakukimbia wakisema, “Ninewi umeangamizwa, ni nani atakayeuombolezea? Nani atakayekufariji?”
Shirikisha
Soma Nahumu 3