Nehemia 1:4
Nehemia 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliposikia hayo nilikaa chini na kulia, nikaomboleza kwa siku kadhaa. Nikafunga na kumwomba Mungu wa mbinguni
Shirikisha
Soma Nehemia 1Nehemia 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapo niliposikia maneno hayo, nikaketi, nikalia, nikaomboleza siku kadhaa; kisha nikafunga, nikaomba mbele za Mungu wa mbinguni
Shirikisha
Soma Nehemia 1